KARIBUN KWA BIDHAA BORA ZA NYWELE TOKA ORIFLAME
Kuna
1) HAIRX ADVANCED
Hii inajaza nywele kuzifanya ziwe nene ndani ya miez 3 ina product 3 nazo ni shampoo,scalp tonic na hair amplifier
2) HAIRX VOLUME BOOST
hii kuna shampoo na conditioner
3) HAIRX RESTORE THERAPY
Hii ina product 4
Shampoo,conditioner,hair mask na hair restore therapy split ends serum ambazo kwa pamoja zinatibu nywele zinazokatika na kuzuia zisiendelee kukatia,kuziimarisha kuzifanya zenye afya na zenye mngao