Mafuta/lotion nzuri kwamwanaume

flulanga

JF-Expert Member
Jul 1, 2016
4,861
6,342
Huwa natumia lotion inaitwa rubby ila nahitaji kubadilisha, mimi ngozi yangu kama inamafutamafuta japo sio sanaaa. Nahitaji lotion ambayo itanisaidia kuniondolea vidude flani vyeupe vinatokeaga puani, nakwenye mashavu kama vilishawahi kukutokea naamini utavitambua. Kwayoyote anayetambua lotion nzuri anaweza niambia, karibuni

NB. Me nimwanaume
 
Tumia Nivea ni nzuri.
 
tumia movit lemon body cream ni nzur kwa ngozi yenye mafuta
 
Mimi situmii Lotion ila natumia Vaseline Petroleum Jelly, ni mafuta mazuri ya mgando kwa wanaume.
 
Mkuu tupia picha ya kopo lake.
FYI
1559564553127.jpeg
 
Back
Top Bottom