Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,217
- 4,414
Waambie waendeleee kusubiri na korosho zisipofika nje january wajiandae kununua lita 5kKuporomoka kwa shilingi yetu dhidi ya dola, pesa ya kigeni haiingii kama zamani, hatuna mauzo nje ama yamepungua
Umemaliza chief nakazia hoja yako hapa....Kuporomoka kwa shilingi yetu dhidi ya dola, pesa ya kigeni haiingii kama zamani, hatuna mauzo nje ama yamepungua
Huku kwetu 1400... nilishangaa sana juzi..Siyo mafuta tu hata mkate wa 1000 Sasa hivi ni 1200
Ni shidaaaaa,tutaanza kuweka viporoHuku kwetu 1400... nilishangaa sana juzi..
Ni ukweli kabisa kwamba dollar imeipiga dafulau tshKuporomoka kwa shilingi yetu dhidi ya dola, pesa ya kigeni haiingii kama zamani, hatuna mauzo nje ama yamepungua
Wanaccm watakwambia wapo kwenye vita ya uchumi.Kuporomoka kwa shilingi yetu dhidi ya dola, pesa ya kigeni haiingii kama zamani, hatuna mauzo nje ama yamepungua
Hapa ndio tunaona umuhimu wa mababywalker. Pamoja ya kuwa wadada hawatotuangalia tena ila hatupandi daladala.dah buku 5 lita mbili tu wenye ma brevis watayauza sana huu msimu..View attachment 958033
Siyo mafuta tu hata mkate wa 1000 Sasa hivi ni 1200
Siyo mafuta tu hata mkate wa 1000 Sasa hivi ni 1200
Nyie watu munaishi wapi? Mi niko Tabata nilipoona hizi comment zenu ilibidi nipite dukani kwanza kabla sijacomment kitu nimekuta Mkate 1000...! sasa nyie munaishi wapi?Huku kwetu 1400... nilishangaa sana juzi..
[emoji120][emoji120][emoji120]Umemaliza chief nakazia hoja yako hapa....
[emoji23][emoji23][emoji23]Wanaccm watakwambia wapo kwenye vita ya uchumi.
Uzuri ni kwamba hizi namba huwa hazibagui.
Wewe utakuwa unakula mikate inayotengenezewa bakery bubu zilizojazana tabata kwenye nyuma za watuNyie watu munaishi wapi? Mi niko Tabata nilipoona hizi comment zenu ilibidi nipite dukani kwanza kabla sijacomment kitu nimekuta Mkate 1000...! sasa nyie munaishi wapi?
Umenena vema mzee baba, FACTS!Hapa ndio tunaona umuhimu wa mababywalker. Pamoja ya kuwa wadada hawatotuangalia tena ila hatupandi daladala.
Seriously hili ni janga kwa kweli. Serikali liangalieni hili, replan your strategies. Maana tunaona the path you chose inaongeza maafa. Waziri wa utalii, ungeanza wewe kutoa makodi na leseni zisizo na lazima ili tupate watalii wengi. Raisi sijui kama uliona video iliotrend miezi kadhaa kuhusu uhamiaji kuwadeport foreigners kisa tu serikali yako haiku update website yao in time, pia haikuinform authorities za kigeni juu ya changes mlizozifanta. Watumishi wako wakawajibu kwa lugha za kudharau nakuwadeport. Je mnadhani watakao ona hili watataka kuja Tanzania?
Kenya endeleeno tu kupromote Mount Kenya. Sisi wenyewe, Mount Kilimanjaro hatuipromote na bado tunaziba daraja. Anyway nilitaka kuagiza Vanguard, now naenda beforward kuongeza sare ya jiji, Toyota IST.
-callmeGhost
Kweli aisee, ukweli mtupu!Kuporomoka kwa shilingi yetu dhidi ya dola, pesa ya kigeni haiingii kama zamani, hatuna mauzo nje ama yamepungua