Mafuriko yasababisha maafa Dar

young zahabu

Member
Joined
Dec 28, 2015
Posts
80
Reaction score
35
Mvua zilizonyesha kuanzia majuzi zimezua mambo mengi ndani ya jiji la dar ikiwemo wananchi kukosa makazi na hii ni kutokana na nyumba zao kusombwa na mafuriko. Pia mvua hizo zimesababisha uharibifu wa miundo mbinu kama umeme, maji na Barabara ikiwemo kuharibika kwa baadhi ya madaraja ikiwemo daraja jipya lililopo Mbweni JKT. Pia mvua hiyo imesababisha vifo vya watu wanne ambvyo vimethibitishwa na mkuu wa wilaya ya Kinondoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…