mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,170
Kwi kwi kwi! Billionaire anajenga kwenye mkondo wa maji? Kwanini asinunue kiwanja sehemu nzuri yenye usalama? Au alipigwa nini?...lol
Wangesema kajenga juu mto sawa wacheni mtoto wa watu...
Mbona hawakusema ulipobomoka ukuta mnadhani watoa bima wajinga?
Nyumba ina bima hiyo mwacheni alale...
Kwi kwi kwi! Billionaire anajenga kwenye mkondo wa maji? Kwanini asinunue kiwanja sehemu nzuri yenye usalama? Au alipigwa nini?...lol
Ndo mabilionare wetu hao wakibongo angetafta wataalamu waujenzi wampe ramani nzuri au atafte kiwanja sehemu nzuri. Tatizo la Dar watu huwa wanajijengea tu kwakua wana hela. Hapo pembeni nimeona ka mto mvua zikizidi aisee ndo mana ukuta wa mwanzo ulidondoka.
Hehehehe
Subiri waje team yake watakuita mchawi
Anyway, labda bilionea anataka kufuga kambale ndio maana akanunua mkondo
Waje tu namuogopa nani kwa mfano? Nasema ninachojisikia siogopi watu watachukulia vipi.
Hahahahahaa nijiandae mie kwenda kula kambale boko maana nina ndugu huko.
Hahahaah
Bilionea aliona mbali
Kuwa patafaa kwa mradi wa kambale
Tatizo watu huwa hawafanyi tathimini kabla ya kujenga eneo na huyo mtu alijua akauza kiwanja fasta.Hapo ni hatari sana mana maji humfata njia zake za asili ujenzi wa hovyo Dar ni janga sio yeye tu asilimia kubwa ya jiji.Hahahahahaa.Halafu eti nae ni mtoto wa mjini jamani ajabu kapigwa kanunua kiwanja kwenye mkondo wa maji!
Ni kweli, nakubaliana na huo ushauri uliompa hapo juu.
Kwi kwi kwi! Billionaire anajenga kwenye mkondo wa maji? Kwanini asinunue kiwanja sehemu nzuri yenye usalama? Au alipigwa nini?...lol
Hahahaah
Bilionea aliona mbali
Kuwa patafaa kwa mradi wa kambale
Tatizo watu huwa hawafanyi tathimini kabla ya kujenga eneo na huyo mtu alijua akauza kiwanja fasta.Hapo ni hatari sana mana maji humfata njia zake za asili ujenzi wa hovyo Dar ni janga sio yeye tu asilimia kubwa ya jiji.
Niliwahi kumshauri aje anunue viwanja bunju beach akusikia sasa kila mwezi wa nne na watano atakuwa anajenga ukuta kama kanoike na janguani, yaani unaweza yanazoa.
Ni kweli.Sasa yeye kutokana na umaarufu na zile sifa zake hayo atayafuatilia saa ngapi?
Mwisho wa siku kajenga eneo hatari.Mafuriko hayana kipimo, yanaweza kuja mengi hata yakaizoa nyumba kabisa.
Ndio hivyo mtu anajifariji kisa ana bima...kweli?
Bima haitolewi kwa watu waliofanya makusudi, hata hivyo inatakiwa ashitakiwe yeye na watu wa ardhi kwa kupima kiwanja kwenye bonde na mataro wa maji.tuongel;ee wenzetu wa mabondeni huyu ana bima
Teh Teh Boss utafungwa.Global wanapenda sana kumfatilia Diamond...