Mafuriko yafunga barabara Morogoro

Mafuriko yafunga barabara Morogoro

SELFISH

Senior Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
133
Reaction score
61
Barabara ya Morogoro imefungwa baada ya maji mengi kupita juu ya daraja maeneo Doma karibu geti la mbuga ya Mikumi. mpaka sasa kuna msongamano wa magari mengi sana.

selfish
 
Mkuu pole sana sisi tumefanikiwa kupita kabla ya maji hajaa sana,kiukweli hali ni mbaya sana,maana tumepita kwenye maji yaliopo juu ya barabara
 
Inabidi serikali ifanye juhudi za haraka hapo
 
Poleni wasafiri ila mtafika salama tu hata kama mtachelewa.
 
Mkuu SELFISH nasikia daraja limekatika hapo doma (melele)
naomba pia serikali ijitahidi kupeleka ulinzi hapo
 
Last edited by a moderator:
Barabara ya Morogoro imefungwa baada ya maji mengi kupita juu ya daraja maeneo Doma karibu geti la mbuga ya Mikumi. mpaka sasa kuna msongamano wa magari mengi sana.

selfish

Poleni sana mheshimiwa selfish lakini maji hayo uwa kunakuwa na samaki hivyo waweza tumia fursa hiyo kukamata samaki na kuwauza (just for fun)
 
Wito kwa madreva pls ikifika usiku paki magari yenu kwani kuendesha usiku na huoni barabara ipo wapi ni hatari sana
 
Wito kwa madreva pls ikifika usiku paki magari yenu kwani kuendesha usiku na huoni barabara ipo wapi ni hatari sana

Kwani baada ya barabara kuharibika wameambiwa wapite porini hadi wasione barabara?
 
Kwani baada ya barabara kuharibika wameambiwa wapite porini hadi wasione barabara?

Siyo hivyo mkuu, maji yamevuka na kufunika barabara hivyo drivers wanaendesha kwa kukisia (lami haionekani)
 
Unaweza kutamani kuwa ungezaliwa hata Somalia na sio hapa .......!!!!!!!

Inakera sana!
 
Daraja limekatika doma ss tumevuka ng,ambo ya pili usafili tuliopanda kwenda morogoro tumepanda fuso
 
Daraja limekatika doma ss tumevuka ng,ambo ya pili usafili tuliopanda kwenda morogoro tumepanda fuso

Duuu...pole sana mkuu mnapanda fuso kama mnaenda ktk mikutano ya ccm!
 
Unaweza kutamani kuwa ungezaliwa hata Somalia na sio hapa .......!!!!!!!

Inakera sana!

Utamani Somalia sababu ya mafuriko? Nenda Mogadishu au Kismayu kwa miezi 6 halafu tusikie comments zako ukirudi maana utaweza kufananisha vizuri.
 
Back
Top Bottom