Sio kosa lako,ila tatizo umesimuliwa na aliyekusimulia amekosa kwa bahati mbaya au makusudi picha za shughuli yenyewe badala yake amekupa za kabla ya shughuli, haya chukua hizo hapo nimekuongezea.Hii ndiyo show ya Diamond ambayo kulikuwa mpaka na viingilio vya tshs laki moja!!
Hiyo shoo ilikuwa Beach a.k.a ufukweni si sehemu ilyojibana na ndio maana unaona wametawanyika. (kama umewahi kufika utajua nazungumzia nini.)Mbona hamna mtu hapo watu elfu 40 si uwanja wa taifa mbona watu hawamuogopi Mungu.
Hofu ya Mungu ni zeroed.
Ila kwa watu 40,000 bado tunadanganyanaHiyo shoo ilikuwa Beach a.k.a ufukweni si sehemu ilyojibana na ndio maana unaona wametawanyika. (kama umewahi kufika utajua nazungumzia nini.)
Eti eeh, wewe unavyokumbuka waliuza tiketi ngapi ??Ila kwa watu 40,000 bado tunadanganyana