Mafuriko saudia arabia.

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
40,343
Reaction score
33,506
Ni jambo linalotokea kwa nadra sana,lakini leo mji wa riyadh umeshuhudia mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha.mabadiriko ya hali ya hewa is realy.
 
Ni jambo linalotokea kwa nadra sana,lakini leo mji wa riyadh umeshuhudia mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha.mabadiriko ya hali ya hewa is realy.

mkuu hii nchi nako mvua huwa inanyesha? si kuna Jangwa la kutosha huko?
 
Du! Kweli maajabu, hadi huko mvua inanyesha siku hizi!
 
mkuu hii nchi nako mvua huwa inanyesha? si kuna Jangwa la kutosha huko?
Mpendwa hayo mafunzo ya Geographical kuwa mvua hainyeshi jangwani? " Yatatermka maji toka mbinguni kwa kadri maalum "
maji yaangani hayana majira wa matabiriyo......!! hekima za moula (Mwenyeenzi Mungu apendaye)...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…