mafuriko na posho

mafuriko na posho

watambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2011
Posts
335
Reaction score
267
Inasemekana Kuwa wakati mafuriko yakiendelea siku ya pili watu walikuwa kwenye vikao vya wokozi wakigawana Posho badala ya kwenda moja kwa moja eneo la tukio na vifaa vya kuokolea watu ikiwa hii nikweli basi Hatuna viongozi Tanzania hii.
 
hiyo ni kawaida kabisa ndugu katika mazingiza haya ya kuganga njaa na inaelekea kuhalalishwa kuwa utaratibu fuatilia kuhusu mabomu ya mbagala na gongolamboto kuna watumishi walijikusanyia posho zaidi ya mil 17 na vitu mbali mbali ikiwa ni ujira wa wao kufanyakazi katika kuhudumia wahanga cha kushangaza hao wahanga wengine hata 1mil hawakupata.ule msemo wa kufa kufaana naona hapa unafanya kazi.kuna watu wanafurahiya sana haya majanga coz yanawaneemesha.pesa na misaada inayotolewa imekuwa haiwanufaishi walengwa kama ilivyokusudiwa nafikiri kuna aja ya kubadili mfumo wa kufikisha misaada mawazo yangu baada ya misaada kupitia kwa mtu then ndo ipelekwe kwa walengwa iwe inaenda moja kwa moja kwa walengwa.
 
Inasemekana Kuwa wakati mafuriko yakiendelea siku ya pili watu walikuwa kwenye vikao vya wokozi wakigawana Posho badala ya kwenda moja kwa moja eneo la tukio na vifaa vya kuokolea watu ikiwa hii nikweli basi Hatuna viongozi Tanzania hii.

Mmmh!
Ni tetesi za vijiweni,lakini kwa serikali fisadi namna hii si za kupuuzia!
 
Back
Top Bottom