hapa nashindwa kumwelewa huju jamaa wa jwtz hivi ni kweli anabebwa badala ya yeye kutoa msaada kwa wananchii...au kwasababu ya hiyo kitu ya AK-47?
Sio jwtz huyo,toka uzaliwe ulishawahi muona jwtz kavaa sare au kombati na sandals!?hapa nashindwa kumwelewa huju jamaa wa jwtz hivi ni kweli anabebwa badala ya yeye kutoa msaada kwa wananchii...au kwasababu ya hiyo kitu ya AK-47
angalia watu watavyoingia mkenge hiyo picha siyo tanzania ni mtu tu ameamua kucheza na akili za wavivu wa kufikiliDooooh kumbe mkuu utafiti ameniwahi bwana!!! Peace
Haha hiyo picha waasi wa congo mi ninayo hata kabla ya mafuriko dar!
Hiyo siyo AK47 ni G3