mafunzo ya udereva Arusha

Bratherkaka

Senior Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
101
Reaction score
10
habari!
leo nimesikia kwenye matangazo ya barabarani kutakuwa na mafunzo ya bure ya udereva na mwisho unapata cheti bure.
kama kuna yeyote amesikia naomba anisaidie kujua mahali ambapo mafunzo yatafanyika, sikuweza kusikia mahali wanapo fanya mafunzo.
i need more information about it.
thank you
 
Hata namba ya simu hukusikia?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hakuna kitu kama hicho hata siku moja,
Walianzia Dar hao naona sasa wameua kujitanua, nenda kisha utatuletea mrejesho hapa kuwa hakuna vya bure

Mkuu hakuna kitu kama hicho hata siku moja,
Walianzia Dar hao naona sasa wameua kujitanua, nenda kisha utatuletea mrejesho hapa kuwa hakuna vya bure
NIkijua wanapo fanya nitakwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…