Mifugo Tz inawashukuru sana SUGECO kwa kuratibu mafunzo ya kwa #vijana yalio fadhiliwa na FAO(Food and Agriculture Organization)
Tunawashukuru kwa kutambua uwepo wetu Mifugo Tz na kutupa dhamana ya kuwafundisha #vijana #mafunzo ya #ufugaji bora wa kuku.
Hii moja ya utekelezaji wa sera ya kilimo yenye lengo la kuinua #uchumi na kupambana na tatizo la #ajira kwa #vijana - Tanzania.
#Kilimo na #mifugo ndio sekta ilyio ajiri #vijana wengi hivyo maboresho na utekelezaji wa sera ya #kilimo ndio njia rahisi ya kuwakwamua kijana kiuchumi.