Mafunzo ya mifugo na kilimo

Mafunzo ya mifugo na kilimo

Joined
Apr 15, 2019
Posts
14
Reaction score
4
Tufahamu kwamba elimu au maarifa ni kitu cha kwanza kabla hujachukua hatua ya kufuga au kufanya kitu kwa vitendo.

Huyu ni Dr Amani akitoa mafunzo ya ufugaji kwa baadhi ya watanzania akiwa darasani, lakini pia elimu ya vitendo ilikuwepo

Lengo ni kuwajengea uwezo wa kusimama wenyewe na kufanya vizuri kwenye ufugaji

Mifugo Tz inatoa hudumu ya elimu juu ya ufugaji wa aina yoyote, lengo nikumsaidi mfugaji aweze kufanya ufugaji wake kwa usahihi.

Mifugo Tz inapenda kuwashukuru SUGECO, kwa kutambua umhimu wa elimu ya ufugaji kwa watanzania.

Kama unahitaji maarifa ya ufugaji bora hisisite kututafuta kupitia

Simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 765 291 489
+255 625 994 023

Email:
mifugotz@gmail.com

@mifugo_tz
@kilimo_tz
@afyakiganjani

#mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #drkessyvet #ufugaji #kuku #broiler #tanzania #incubator #kuroiler #sasso #mbuzi #mbwa #paka #daressalaam #morogoro #tanzania #bata #kuchi #kilimoufugaji #mwanza #arusha #mbeya #kilimanjaro #sungura #vifaranga #daktariwamifugo #afyakiganjani
Screenshot_20190416-071223.jpeg
IMG_20190416_071613_264.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom