2017 No Name Senior Member Joined Jul 26, 2017 Posts 172 Reaction score 133 Jan 17, 2020 #1 Salam! Nimeanza kujifunza kutumia Microsoft Excel kupitia online courses, nia yangu ni kufikia expert level. Changamoto niliyonayo ni kukosa kazi za kuapply vitu nnavyojifunza na kutambua changamoto zinazoendana na kufanya kazi kwenye program hii. Kama una kazi inayotakiwa kufanywa kwenye Microsoft Excel ambayo inahitaji basic knowledge ya mathematics nipo hapa kukusaidia. Ni Bure!!! Sent using Jamii Forums mobile app
Salam! Nimeanza kujifunza kutumia Microsoft Excel kupitia online courses, nia yangu ni kufikia expert level. Changamoto niliyonayo ni kukosa kazi za kuapply vitu nnavyojifunza na kutambua changamoto zinazoendana na kufanya kazi kwenye program hii. Kama una kazi inayotakiwa kufanywa kwenye Microsoft Excel ambayo inahitaji basic knowledge ya mathematics nipo hapa kukusaidia. Ni Bure!!! Sent using Jamii Forums mobile app
M Mechanical Engineer JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 230 Reaction score 132 Jan 17, 2020 #2 Hongera sana mkuu kwa hatua hiyo.
hooligan01 JF-Expert Member Joined Nov 21, 2013 Posts 664 Reaction score 540 Jan 18, 2020 #3 Unatumia site gani kujifunza ushare na sisi humu ndani na je iyo online course ni free?
T Ta Nanka JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 1,350 Reaction score 2,083 Jan 18, 2020 #4 hooligan01 said: Unatumia site gani kujifunza ushare na sisi humu ndani na je iyo online course ni free? Click to expand... Kama una basic knowledge ya excel na unataka maujuzi zaidi waweza mcheki YouTube mwanadada mmoja aitwa Leila Gharani. Yuko vizuri. Sent using Jamii Forums mobile app
hooligan01 said: Unatumia site gani kujifunza ushare na sisi humu ndani na je iyo online course ni free? Click to expand... Kama una basic knowledge ya excel na unataka maujuzi zaidi waweza mcheki YouTube mwanadada mmoja aitwa Leila Gharani. Yuko vizuri. Sent using Jamii Forums mobile app
2017 No Name Senior Member Joined Jul 26, 2017 Posts 172 Reaction score 133 Jan 18, 2020 Thread starter #5 hooligan01 said: Unatumia site gani kujifunza ushare na sisi humu ndani na je iyo online course ni free? Click to expand... Natumia Udemy. Sio free. Sent using Jamii Forums mobile app
hooligan01 said: Unatumia site gani kujifunza ushare na sisi humu ndani na je iyo online course ni free? Click to expand... Natumia Udemy. Sio free. Sent using Jamii Forums mobile app
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 23,087 Reaction score 40,069 Jun 2, 2020 #7 Niweke hapa kazi au PM?