U.S Grains Council watakuwa na mafunzo kwa watengenezaji wa chakula cha kuku kwa kutumia Soya ,
Mafunzo haya ni kwa wale wanaotengeneza vyakula vya kuku au wanaotarajia kutengeneza chakula cha kuku.
Mafunzo yatafanyika Chuo Kikuu cha Dare es Salaam siku ya Jumamosi tarehe 11-10-2014 kuanzaia saa 2.00 asubuhi hadi saa 9.00 mchana.
Kama una nia ya kushiriki jiandikishe kwa Mary Ngalaba simu : 0718-733 711 au 0683-624 650
Ahsante kwa kuiendeleza tasnia ya kuku
Manase Mrindwa
Katibu
Tanzania Poultry Breeders Association (TPBA)

Kwa huku kwetu mimi naona kutumia soya nikuongeza gharama. Dagaa wanatosha.pia kuna sehemu nilisoma huko ulaya wanataka free soy feed.bado naendelea kutafuta soya inatatizo gani hadi watafute mbadala?
Nashukuru sis kwa taarifa, wazungu bwana vitu vikishaonekana kuwa na madhara huko kwao wanavileta kwetu na sifa kemkem. Tuwe makini tuache kukurupukia vitu.
Mhhhuuuu! Kienyeji wawe infitile si ndiyo kupiga mateke kama yule jamaa wa uzi flani humu jamvini.
Mama Joe Upo. Tumekumis sana hapaahahaaa ufagio paaa kwanini hamchakariki heheee full comedy. Ila usije iacha inasehemu yake kwenye chakula cha kuku hata watu sema tu sio mbadala wa dagaa au kuitumia nyingi.
Mama Joe Upo. Tumekumis sana hapa
Mama Joe Upo. Tumekumis sana hapa
Tumekumis pia ila mama joe zaidimm hamjanimiss jamani
Nipo mpendwa tujenge nchi yetuTumekumis pia ila mama joe zaidi