Mafunzo ya kilimo cha ufuta

Mafunzo ya kilimo cha ufuta

kiera

Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
29
Reaction score
5
MAFUNZO YA MSINGI YA KILIMO BORA CHA ZAO LA UFUTA 2015,
Taasisi ya AMSHA – www.amsha.org, Imeandaa mafunzo ya msingi ya kilimo bora cha ufuta, terehe 05/09/2015.
LENGO
Kuwapatia wakulima kanuni na taratibu za msingi juu ya kilimo bora cha ufuta katika Nyanja zifuatazo;
- Jinsi ya kuandaa shamba kitaalamu kwa ajili ya kilimo cha ufuta (kulima,uchaguzi wa mbegu na upandaji).
- Usimamizi wa shamba kabla ya mavuno
-Matumizi ya mbolea na Jinsi ya kufanya palizi
-Kutibu na kudhibiti magonjwa
-Usimamizi wa shamba baada ya mavuno
-Njia bora za kuvuna na nyezo
- uhifadhi wa zao la ufuta baada ya mavuno kwaajili ya soko husika.
MAHALI :LANDMARK HOTEL-UBUNGO(Riverside),DAR ES SALAAM.
Gharama ya mafunzo ni shilling 30,000/= ( ilipwe kabla ya terehe 25/08/2015). Malipo yafanyike kwa M-pesa kupitia namba 0766 640203 (malipo yafanyike kwa namba hii tu).
MAWASILIANO: 0659-339905/ 0716-966447, barua pepe: pr@amsha.org cc: info@amsha.org
 
Back
Top Bottom