Mafunzo ya JKT yazingatie mahitaji ya sasa

Mafunzo ya JKT yazingatie mahitaji ya sasa

mzamifu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2010
Posts
6,410
Reaction score
3,876
Wanajamvi nawasalimu na kuwaomba tujipongeze kwa kuingia mwaka mpya wa 2015.

Napenda kushauri tu kuwa mafunzo ya kijeshi yanayotolewa kwa mujibu wa sheria yazingatie mahitaji ya sasa.

Wakati yalipoanzishwa miaka ya 1960 vijana waliojiunga na mafunzo hayo walikuwa na uhakika wa kupata ajira mara baada ya kuhitimu. Kwa sababu hii wengi walihesabiwa kama waajiriwa tayari na sehemu ya mishahara yao ilikwenda serikalini na wao kupewa posho tu.

Hakuna aliyepita JKT halafu akakosa ajira labda akatae mwenyewe.

Wakati wa sasa vijana wanajuinga wanapomaliza kidato cha sita huku wakiwa hawana hata hakika ya kupata mkopo kwa masomo ya juu sembuse kuajiriwa!

Ni hatari kwa kijana aliyepata mbinu za kijeshi halafu hana hakika na hatima ya maisha yake. wanaweza kuongeza idadi ya mapanya road!

Kwa hivo ni lazima mafunzo haya yabadilike. makambi yote yageuzwe vyuo vya kutengeneza watanzania wa karne hii. masomo muhimu yawe ni ujasiria mali, uzalendo, ulinzi wa taifa, na ukakamavu. Mapinduzi ya sayansi na Teknolojia yanaweza kuaanzia katika jeshi.

Mfano ni kituo cha Nasa cha marekani.
 
Kwa muono wangu hakuna haja ya mafunzo ya jkt ya mujibu wa sheria kwa dasa wanamaliza pesa tu za serikali maana zinatumika pesa nyingi kwa sasa kuhusu hayo mafunzo mwisho wa siku hatuoni faida yoyote wananyoipata hawa vijana zaidi ya kuwapa shida police badae ya kudeal na askari wenzao walitoka jkt harafu wamekosa ajira.Nadhani wabunge waliipitisha hili kwa lengo zuri tuu lakini aaah kiukweli kwangu naona haina haja ya kuwapeleka vijana hukoo.ooh wanafundishwa uzalendo mbona viongoz wooote wamepita uko lakini zi wazalendo ni wezi uzarendo haufundishwi jkt uzalendo ni intrisic mbona kina Zitto wameonesha uchungu wa nchi yao(uzalendo)hata hawajaenda jkt wamekuja kwenda jkt ki mfano tuu MAFUNZO KWA MUJIBU YAFUTWE HAYANA MAANA NA NIUMALIZAJI WA PESA TU
Hayo ni maoni yangu tuu
 
Duh mkuu, umekuwa mkali tena kwa hisia!
 
Duh mkuu, umekuwa mkali tena kwa hisia!

Mkuu haya mambo yanakera mtu anapelekwa jkt harafu mwisho wa siku hana ajira au mkopo wa chuo kikuu so what next.Wanatumia pesaa nyingi sana man hujui tuuu wewe mtafute kijana yeyeote aliyetoka jkt muulize au soldier yeyote akupe data man hela nyingi sana zinapotea zingine wanaweza kua wanakula wakuuj wa vikosi tuuu bila hata kufatiriwa na hivi huko majeahini hakuna ma auditor MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU YAFUTWE NI KUMALIZA PESA TU
Muono wangu
 
Hata mimi kwa sasa sijaona mashiko makubwa ya kujiunga na jkt kwa mujibu wa sheria,, kwanza wanasema wanaenda kufundishwa uzalendo,, hata kama watafundishwa uzalendo ila huo uzalendo kuingia kwenye matendo ngumu,, uzalendo uko damuni tu mwa mtu,,, majizi kibao ya serikalin mengi enzi zao yamepitia huko jkt lakini ndio hao wasafirisha pembe za ndovu,, ndio hao ambao wanatetea mafisadi either kwa kuwa nao wako kwenye mkondo huo or hao mafisadi ni jamaa zao pia hao waliopitia jkt enzi hizo nina wasiwasi ndio wenye mitandao mikubwa hata ya madawa ya kulevya,, binafsi naona huko jkt ingekuwa hiari ya mtu,, yaani mi nimalize form six badala ya kwenda kuchoma mkaa nikusanye pesa ya kunisaidia katika maisha haya unalazimisha niende jeshini,,,!!!! Haina haja hyo
 
jkt kwa mujibu ndo mpango mzma we ujaenda ndo maana unasema ila mie nilienda nakili hayo mafunzo yaendelee na mda uongezwe
 
jkt kwa mujibu ndo mpango mzma we ujaenda ndo maana unasema ila mie nilienda nakili hayo mafunzo yaendelee na mda uongezwe

Wewe umeyapenda kwa kua una interest na jeshi man na si woote wanaopenda jeshi wewe unaonekana majeshi kunoga lakini je yale mafunzo uliyojifunza uzalendo sijui umeufanyia nini??watu waende jeshin wanaopenda siyo kulazimishana kwenda huko kumaliza pesa za serikal wakat hizo zingetumika kustoa mikopo kwa vijana wa kwenda vyuo vikuu man ulikua KJ gani na Opp gani mkuu
 
Mafunzo ya jkt ni mafunzo yz kijinga kuwahi kutokea katika ardhi ya Tanganyika hasa katika karne hii ya 21.

kuwafundisha watu kupalilia kwa mkono karne hii ni ujuha wa kiwango cha juu sana,kufundisha watu kukesha usiku kucha ni upumbavvu wwa kiwango cha hali ya juu sana .
 
hahahahahahahahaha mkuu imenibidi nicheke tu maana sijui hata nicomment nini
 
mafunzo ya JkT yalianzishwa kipindi kile cha vita baridi. lakini tuliiga mfumo wa kujilinda kwa wa Israel. lengo hasa lilikuwa kujenga taifa kwa kujitolea kulilinda na kulitumikia kwa kukatwa mshahara na pia kuandaa jeshi la akiba pindi ikitokea vita. wakati ule maadui walikuwa wengi wakiwamo makaburu na wareno. of course sasa tatizo kubwa duniani si vita vya nchi na nchi bali ugaidi. tatizo lingine la nchi ni umasikini unaosababishwa na kiwango kidogo sana cha sayansi na teknolojia yetu. kwa hivi tunatakiwa kujihoji nafasi ya jkt katika suala la ugaidi na umasikini. falsafa ya jeshi hili ni kujenga. sasa tunatakiwa kuelewa ujenzi au kujenga taifa hapa ni nini. je kujenga taifa kunaanzia wapi au watu gani.
nadhani jeshi la kujenga taifa ni vijana wote tangu wakiwa shule! je, kule shuleni vijana wanajengaje taifa? kule wale watoto tumewagawa kimafungu halafu tunawasubiri kuja kuwaunganisha na jkt. bahati mbaya hawaendi vijana wote.kwa hiyo tunahitaji kujadiliana model gani ifuatwe kabla ya kufuata sheria!
 
Back
Top Bottom