nimemona kwenye tv rais akifunga mafunzo ya jkt kwa wabunge ambayo yalichukua wiki tatu tu.
Nilishapitia jeshini na mafunzo yetu yalichukua mwaka mmoja. Kwa muda wa mwaka mmoja tuliweza kujifunza mengi lakini hata hivyo kwa mawazo yangu niliona kuwa hatukujifunza mengi ya kutosha.
Huu muda wa wiki tatu ni muda mdogo sana kumfundisha mtu ukakamavu wa kijeshi na kumtoa uraia, kujua mbinu za kivita, ikiwa ni pamoja na uzoefu na ujuzi wa kutumia silaha mbalimbali na kubadilisha mawazo na kuleta hisia za uzalendo.
Binafsi naona kama vile walikwenda kwenye ziara ya kujua jkt wanafanya nini.
Wiki tatu zinatosha bwana si walikuwa wanapeleka ushahidi ili waonekane wazalendo? Na kwa jinsi watanzania walivyo treatment zao zilikuwa tofauti. Ndo maana humu watu waliwahi kuandika mara Mwigulu awa kivutio , mara mwigulu awaponza kuruta etc Warudi wawajibike kwa ahadi walizozitoa kwa wananchi.
Nimemona kwenye TV Rais akifunga mafunzo ya JKT kwa wabunge ambayo yalichukua wiki tatu tu.
Nilishapitia jeshini na mafunzo yetu yalichukua mwaka mmoja. Kwa muda wa mwaka mmoja tuliweza kujifunza mengi lakini hata hivyo kwa mawazo yangu niliona kuwa hatukujifunza mengi ya kutosha.
Huu muda wa wiki tatu ni muda mdogo sana kumfundisha mtu ukakamavu wa kijeshi na kumtoa uraia, kujua mbinu za kivita, ikiwa ni pamoja na uzoefu na ujuzi wa kutumia silaha mbalimbali na kubadilisha mawazo na kuleta hisia za uzalendo.
Binafsi naona kama vile walikwenda kwenye ziara ya kujua JKT wanafanya nini.
Kweli mkuu, kwanza wiki tatu hazitoshi hata kujifunza kuimba disco, huku "Yakinyukwa".Nimemona kwenye TV Rais akifunga mafunzo ya JKT kwa wabunge ambayo yalichukua wiki tatu tu.
Nilishapitia jeshini na mafunzo yetu yalichukua mwaka mmoja. Kwa muda wa mwaka mmoja tuliweza kujifunza mengi lakini hata hivyo kwa mawazo yangu niliona kuwa hatukujifunza mengi ya kutosha.
Huu muda wa wiki tatu ni muda mdogo sana kumfundisha mtu ukakamavu wa kijeshi na kumtoa uraia, kujua mbinu za kivita, ikiwa ni pamoja na uzoefu na ujuzi wa kutumia silaha mbalimbali na kubadilisha mawazo na kuleta hisia za uzalendo.
Binafsi naona kama vile walikwenda kwenye ziara ya kujua JKT wanafanya nini.
Nimemona kwenye TV Rais akifunga mafunzo ya JKT kwa wabunge ambayo yalichukua wiki tatu tu.
Nilishapitia jeshini na mafunzo yetu yalichukua mwaka mmoja. Kwa muda wa mwaka mmoja tuliweza kujifunza mengi lakini hata hivyo kwa mawazo yangu niliona kuwa hatukujifunza mengi ya kutosha.
Huu muda wa wiki tatu ni muda mdogo sana kumfundisha mtu ukakamavu wa kijeshi na kumtoa uraia, kujua mbinu za kivita, ikiwa ni pamoja na uzoefu na ujuzi wa kutumia silaha mbalimbali na kubadilisha mawazo na kuleta hisia za uzalendo.
Binafsi naona kama vile walikwenda kwenye ziara ya kujua JKT wanafanya nini.
Nimemona kwenye TV Rais akifunga mafunzo ya JKT kwa wabunge ambayo yalichukua wiki tatu tu.
Nilishapitia jeshini na mafunzo yetu yalichukua mwaka mmoja. Kwa muda wa mwaka mmoja tuliweza kujifunza mengi lakini hata hivyo kwa mawazo yangu niliona kuwa hatukujifunza mengi ya kutosha.
Huu muda wa wiki tatu ni muda mdogo sana kumfundisha mtu ukakamavu wa kijeshi na kumtoa uraia, kujua mbinu za kivita, ikiwa ni pamoja na uzoefu na ujuzi wa kutumia silaha mbalimbali na kubadilisha mawazo na kuleta hisia za uzalendo.
Binafsi naona kama vile walikwenda kwenye ziara ya kujua JKT wanafanya nini.
Heeeeh! kwa hivi jeshi limekwisha au ni wabunge tuuuuuuuuuu na watoto wa wakulima pia. Mweee ajisemea Dingiswayo hii nchi imevamiwa na mafisi...Au bunge twakufu limeanza. Hahahah pesa ya kichele wamepata au wametoa sadaka?