Ewe mkazi wa Kahama karibu sana kwenye mafunzo haya maalumu ya kibiashara ambapo kwa hakika yatakupa mwanga wa: •Kuweza kuanzisha biashara kubwa kwa kutumia mtaji mdogo sana.
Kuweza kutengeneza kipato endelevu(Passive income) kwa kutumia muda wako wa ziada TU. Jinsi utakavyoweza kujitengenezea uhuru wa kifedha(Financial freedom).
Kuwa na maarifa ya uongozi katika biashara yako.
MAHALI:Gaprena Hotel,Kahama Mjini.
MUDA:saa tisa kamili.
KIINGILIO:5000/=.
Kwa maelezo zaidi,tafadhali wasiliana nami kupitia namba hii ya simu:0719805866