nasri athumani
Member
- Jul 13, 2011
- 64
- 8
baelezee bi dada bakuelewe!!nasri athuman..nice n gud name.babu alisema MWANAUME NI TAASISI INAYOJITEGEMEA NA IPO FULLmwanamke ndo tegemez na AJAJITOSHELEZA SO VISEMINA ELEKEZ.TUITION ZA NDOA NA BRASH ZA MAHABA ZINAWAHUSU SANA....thou m nt conqur wth him bt ivo ndo alisema...sasa ukiangalia kwa makin utabain ao wanaojifanya awaitaji kufundwa ndo waitaj wakuu wa semina elekez cz wao ndo wadau wakuu wakuvunja misingi ya ndoa na weng wao hawajui majukumu yao ndani ya ndoa.nawasilisha.
nasri athuman..nice n gud name.
babu alisema MWANAUME NI TAASISI INAYOJITEGEMEA NA IPO FULL
mwanamke ndo tegemez na AJAJITOSHELEZA SO VISEMINA ELEKEZ.TUITION ZA NDOA NA BRASH ZA MAHABA ZINAWAHUSU
SANA....thou m nt conqur wth him bt ivo ndo alisema...sasa ukiangalia kwa makin utabain ao wanaojifanya awaitaji kufundwa ndo waitaj wakuu wa semina elekez cz wao ndo wadau wakuu wakuvunja misingi ya ndoa na weng wao hawajui majukumu yao ndani ya ndoa.
nawasilisha.
Hi wana jf nimekua nikitatizwa na suala hili, Kijana wakiume akitoke kumchumbia Binti wa kike mala nyingi nakawaida 2livyozoe bint wakike huwa anawekwa ndani kabla ya ndoa ili kufunzwa jinsi yakuishi na mumewe mtalajiwa, kwaajiligani huwa anangaliwa zaidi wa kike kupata elim hiyo huku wakimuachia wakiume japo atapewa baadhi yamambo lakini hatotiliwa mkazo kama wa kike?. nahaliakua kwa sasa wanaume wengi wako kwenye jangwa la kushawishika na madada ze2 na2mekua si waaminifu kwenye ndoa zetu zaid kuliko wao..?
Hivi hili mnaliangaliaje kuhusiana na Elimu hiyo kupewaupenda mmoja Zaidi?