Mafundi waziri wa kudisgin paaa na kupaua

Mafundi waziri wa kudisgin paaa na kupaua

0655059389 mcheki huyo dogo fundi aliifanyia haki nyumba ya dada yangu
 
Wanahitajikades
Design na roofing ni kazi mbili tofauti sasa kumpata mtu mmoja akawa vizuri kwa kazi hizo mbili ni shida, ila unaweza kuwacheki hawa jamaa ni team ,wapo designer na watu wa roof, 0719225113
 
Napatikana hapa Dar Kwa Namba hii 0689279560. Utapata paaa murua kulingana na mjengo wako Kama Fundi aliitendea halo.
 
Back
Top Bottom