Mafundi software na Watumiaji wa simu hii msaada wenu..

Kaplizer

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
710
569
Mtumiaji wa simu janja hii njoo unijuze zaidi kuhusu mfumo wake wa kulipia per day.. vp inawezekana kufanya maujanja tukaiflash au... Maana simu ya ram 1 na Gb 8 kwa bei ya 280000 sio mchezo hata kama unalipa kidogokidogo hii kampuni ya kichina naona inatupiga wabongo tu.

 
Umeliwa pakubwa sana hapo. Kama ni simu za kawaida ungenunua na change ingebaki mfano galaxy grand prime + ungepata change, infinix change ingerudi, tecnno etc
 
Ushasikisia simu 1Gb ram na storage 8Gb sasa hiyo simu au maonyesho akuna kitu hapo yan umeibiwa mchana peupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…