IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,033
Nimenunua wino wa unga lengo langu nikurefill kwenye cartridge iliyokwisha...
Nilipewa ushauri na mdau wangu cz yeye anarefil, aliyenielekeza ili linamtatiza...
wino wa unga ambao niliagiza bahati mbaya nimeletewa wa ir 2420 badala ya ir 2520 ambayo ndio photocopy yangu
Swali la msingi utafaa kurefill?
NB:Nimemuliza aliyenitumia anasema unafaa...nimemsisitiza tuchange anasema hana mwingine kamaliza...
Msaada mafundii...je utafaa?