mafundi magari

Joined
Nov 5, 2014
Posts
18
Reaction score
4
sisi ni vijana watatu kutoka toyota tz ,tunatengeneza
engine aina zote hasa za V8.Yeyote mwenye kuhitaj huduma yetu tuwasiliane no.0766981308 tunakufuata ulipo DAR
 
sisi ni vijana watatu kutoka toyota tz ,tunatengeneza
engine aina zote hasa za V8.Yeyote mwenye kuhitaj huduma yetu tuwasiliane no.0766981308 tunakufuata ulipo DAR

Funguka zaidi. Kuna maswali mengi hujaeleza,mmeacha kazi Toyota Tz? kama mmeacha ni kufukuzwa? Kwa makosa gani,wizi wa vipuri?kama bado mmeajiriwa mtakuwa na muda gani wa kufanya kazi zetu?
 
bado ni waajiriwa pale toyota na kazi tutakua tunapiga wik end na kama kaz sio tafu hata jion kuanzia saa 12 tunafanya.
 
Nna wasi wasi na sample mliotumia kufanya promo...
 
sisi ni vijana watatu kutoka toyota tz ,tunatengeneza
engine aina zote hasa za V8.Yeyote mwenye kuhitaj huduma yetu tuwasiliane no.0766981308 tunakufuata ulipo DAR

mnapotoa matangazo muwe na uhakika siyo badae tunawapigia mnaanza ngoja nimuulize mwenzangu,nini sas?
 
hawezi kitu hao mbwembwe tu mnashindwa rav4 mtaweza v8?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…