Mafundi kompyuta (software and hardware)

Mafundi kompyuta (software and hardware)

nsemwae

Senior Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
175
Reaction score
56
Kutana na mafundi wa uhakika wataalam wa kutengeneza kompyuta matatizo ya aina zote

Kariakoo mtaa wa msimbazi na aggrey
call: 0675378011

Karibu
 
Kutana na mafundi wa uhakika wataalam wa kutengeneza kompyuta matatizo ya aina zote

Kariakoo mtaa wa msimbazi na aggrey
call: 0752367766
Ninashida na CD ya Window 10 OG naweza pata???
 
Kwema humu nina kompyuta yangu imekufa graphic card naweza kupat
Ungeainisha aina ya pc ni laptop au desktop kompyuta, lakini nijuavyo GPU huwa iko integrated na processor sasa sidhani kama graphic inawezekana kubadishwa.
 
Kutana na mafundi wa uhakika wataalam wa kutengeneza kompyuta matatizo ya aina zote

Kariakoo mtaa wa msimbazi na aggrey
call: 0675378011

Karibu
Nataka touchpad ya hp folio 9470 vp naweza pata na Sh ngapi
 
Ungeainisha aina ya pc ni laptop au desktop kompyuta, lakini nijuavyo GPU huwa iko integrated na processor sasa sidhani kama graphic inawezekana kubadishwa.
 
Attachments

  • 20201028_212648.jpg
    20201028_212648.jpg
    149.4 KB · Views: 15
Hii ni nvidia ambayo ni dedicated gpu, kama unataka kubadili inakubidi uijue version halafu unaweza kuitafuta mtandaoni aliexpress au k/koo
 
Back
Top Bottom