Mafundi cherehani wahitajika

kemi2011

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Posts
735
Reaction score
290
Nahitaji mafundi cherehani watatu ambao ni mafundi haswa wa nguo za kike na mmoja wa nguo za kiume hasa mashati.

Wasiliana na Mimi kwa namba 0769334999
 
Nilijua unahitaji fundi wa kutengeneza charahani kumbe wa kushona nguo
 
Kwahiyo hapa anatafutwa fundi nguo kwa kutumia cherahani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…