Uncle Araali
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 952
- 1,265
nami nangoja jawabu nina ndugu yangu anapitia hali hio piaWakuu,
Nimekuwa na changamoto ya kupiga chafya na kuwa na mafua makali kila asubuhi.Nimetumia dawa zote za mafua lakini hazitibu bali zinapoza tu tatizo. Naomba kujuzwa chanzo cha mzio huo na namna ninavyoweza kupona tatizo hilo. Natanguliza shukrani.
Shukrani sana mkuunami nangoja jawabu nina ndugu yangu anapitia hali hio pia
samahani, what if yote umeyafanya and still bado hali ni ile ile kuna njie nyingine yoyote ndugu? nasema hivyo sababu ulichosema yeye anakifanya piaFua mashuka na blanketi mkuu.
Ila seriously kama unalala umefunga madirisha tegemea yote. Usisahau kuyasafisha pia, badilisha mapazia. Kama ni wanaume wanaweza kukaa na mapazia miaka mitano halijui kufuliwa
Kula kitunguu swaumu. Inaweza ikawa ni virus.samahani, what if yote umeyafanya and still bado hali ni ile ile kuna njie nyingine yoyote ndugu? nasema hivyo sababu ulichosema yeye anakifanya pia
nashukuru mno kwa hilo ntamshauri piaKula kitunguu swaumu. Inaweza ikawa ni virus.
Ikishindikana nenda hospital
and regarding hicho kitunguu swaumu anatumiaje eti, samahani lakiniKula kitunguu swaumu. Inaweza ikawa ni virus.
Ikishindikana nenda hospital
Unatafuna hata punje mbili. Hakikisha ile allicin inaingia mdomoni. Kiwe fresh. Vumilia harufu. Unaweza hata kutafuna na tangawizi.and regarding hicho kitunguu swaumu anatumiaje eti, samahani lakini
nashukuru sana, nimepata elimu mpya leo.Unatafuna hata punje mbili. Hakikisha ile allicin inaingia mdomoni. Kiwe fresh. Vumilia harufu. Unaweza hata kutafuna na tangawizi.
ntaifatilia na hii..🙏Emina Sol, Nasal Spray hii imewahi kunisaidia..
Hauwashi,mkuuVipi mwili haukuwashi?
Nimetumia sana centrizen lkn wapi, hii hali inakera, kwangu hata nikinywa kitu cha baridi chafy zinaanza na sikua hivo awaliWakuu,
Nimekuwa na changamoto ya kupiga chafya na kuwa na mafua makali kila asubuhi. Nimetumia dawa zote za mafua lakini hazitibu bali zinapoza tu tatizo.
Naomba kujuzwa chanzo cha mzio huo na namna ninavyoweza kupona tatizo hilo.
Natanguliza shukrani.
Shukran ntajaribu kitunguu swaum, vipi kwa mie ambae hata nikitia kitu cha baridi mdomoni lazima nipate mafua na chafya za kutoshaUnatafuna hata punje mbili. Hakikisha ile allicin inaingia mdomoni. Kiwe fresh. Vumilia harufu. Unaweza hata kutafuna na tangawizi.
Usitumie vya baridiShukran ntajaribu kitunguu swaum, vipi kwa mie ambae hata nikitia kitu cha baridi mdomoni lazima nipate mafua na chafya za kutosha