Mafisango Cup


E

ExpertBroker

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2009
Messages
454
Likes
7
Points
0
E

ExpertBroker

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2009
454 7 0
Ningelikuwa na uwezo ningeandaa kombe la mpira wa miguu kwa kuhusisha timu ambazo Marehemu Patrick Mutesa Mafisango amewahi kuchezea zikiwamo TP Mazembe, APR, ATRACO, Azam na Simba kwa kuliita MAFISANGO CUP na mapato yatakayopatikana nusu kupatiwa familia yake kwa ajili ya kuwatunza watoto wake watatu aliowaacha ambapo kila mmoja ana mama yake! Bila shaka Ezekiel Kamwaga, Afisa habari wa Simba na Patrick Tores Kahemele, meneja wa Azam FC, mwaweza yafanyia kazi mawazo haya
 

Forum statistics

Threads 1,275,103
Members 490,908
Posts 30,532,754