Mafisadi yanateseka sana lakini tuvumiliane tu

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
Mlitunyanyasa sana tukiwakugusa tu mlitutishia bastola mlichepuka na wake za watu, mliua alibino mliwatesa bure mlijiita Mafreemason mlisema mna hela za majini ni kweli hela za majini zinawatesa what goes around comes around. Ni hatari kwa Taifa kama lingeendelea kuyalea haya mafisadi papa watu binafsi walikuwa na misafara walipishwa ninayo mengi ila ngoja niiishie hapo
 
Fisadi akiteseka wewe mlala hoi utakua wapi. Jiulize wanaofanya kazi kwa mohamed enterprises na kulipwa 170,000 kwa mwezi na fisadi nani kati ya hawa unauona moto?
Learn to count up to ten before you utter trash.
 
Back
Top Bottom