Mafisadi Watumia Weapons of Mass Destruction | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafisadi Watumia Weapons of Mass Destruction

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Arafat, Jan 19, 2011.

 1. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Kuna wakati tulikwisha sema ya CCM na mafisadi wake lazima watatumia mbinu za kivita kuishambulia CDM na wanachama wake ilimradi kujiami, kama nilivyo bashiri awali kwamba uenda wakatumia Weapons of Mass destructive, yaani silaha ya kungamiza Jamii kwa ujumla, ndivyo walivyo fanya bila kujali hiyo silaha itammaliza nani na kumbakisha nani; silaha kama hizo alikuwa nazo Mzee Saadam Hussein zikisimamiwa na Chemical ALLY, mara nyingi ni silaha za chemikali au Atomiki ni silaha kama iliyopigwa Hiroshima Japan; Mafisadi wa CCM wametumia sehemu ya Mgawo wao wa Malipo ya DOWANS (Kumbukeni kuwa wanauhakika wa kupata hizo fedha kwahiyo wanaweza kufanya overdraft payments) kuwanunu Mashekh na kulete hoja tata katika jamii, kuwa kuwapinga Mafisadi ni kupingana na Dini ya Kiislam! Hii ni silaha hatari sana wametumia, kazi kwenu CDM, kaeni chini mtafakari kabla ya kuanza hatua nyingine.

  Ushauri

  Nashauri mara moja ianzishwe Operation sambaratisha Mafisadi, CDM wajitolee kuongoza Jamii katika Operation hiyo yafanyike Mambo yafuatayo

   
Loading...