kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 268
hv hakuna uwezekano wa kukiweka hicho kitabu mtandaoni?na tuliombali tunataka kukiona nn kilichomo ndani!Huyu muheshimiwa kichwani amejaza matope au ubongo!
Nakala 25,000 x 2,000 (chukulia kitab ki1 sh elfu 2) = 50, 000, 000.
Achome moto si chini ya milion 50?! Huyu si fisadi tu wa elimu, bali pia ni fisadi wa EPA. He can't even think!
Shame on him.
jamani na mimi nataani nipate copy ya hicho kitabu!si mchezo..
ila sasa kama kitabu ni threat kwa hao wabunge waliotajwa,sio hatari kwa maisha ya muandishi wetu huyu?!maana wababe wetu hawa tunawajua!hasa kipindi hiki cha kampeni!Kitabu kipo mtaani kinazwa kwa sh 3,000/= tu. Mnataka kiwekwe kwenye mtandao ili mwandishi wa kitabu hiki hakose mapato? mimi ninacho na sijataka kukiweka kwenye mtandao ili kumuunga mkono huyu mzalendo wa kweli aliye na uchungu na nchi yake.
Mzee wetu wa mwanza naye anahojiwa elimu yake,mzee anayemiliki kampuni ya jangwa la sahara na nyota television,sasa naona mahojiano ya jumatatu yatanoga,maana aliyealikwa naye ni wale waleMaktaba imetema
Jamaa atuwekee softcopy humuWeka katika PDF weka online..