Chawa wa mama hamjulikani na chama, Yule kiongozi wa ccm alisema, mi ccm na kadi ninayo yazamani na electronic, Ila mazuri tusifie na mabaya tuseme.Sisi Chawa tunatetea Chama chetu cha Mapinduzi kwa moyo wa uzalendo hatuhitaji malipo kama vijana wa mbowe
Vp una haamu tukupe kikunioMwehu huyo,siku tatu izo ampe bbasha wake sio serikali hii
Watapata shida sana ukitaka kujua unafiki wao subiri huyu mama amalize muda wake.Labda mwanajeshi kapewa Ela ya vinywaji, bado leshen, na mshahara juu.
Time Will tellSiyo mimi tu, ni watanzania wote kila kona ya nchi hii ni Dkt Samia tu!
Wanampoteza maboya huyu mamaNaona kuna mtu anaenda kupotea mazima_ni suala la mda tu
Wivu tuWatanzania hawajaridhika na uwekezaji wa bandari, serikali isione aibu kuachana nao
Jiheshimu dogoSiyo mimi tu, ni watanzania wote kila kona ya nchi hii ni Dkt Samia tu!
Wivu tuJiheshimu dogo
Kwan mkataba wenyew mmeshawaambia watz namna watakavyofaidika nao afu vipi bidhaa zitapungua bei kutokana na maboresho hayo?Siyo mimi tu, ni watanzania wote kila kona ya nchi hii ni Dkt Samia tu!
Vp mkataba umewahudisha wananchi?Siyo mimi tu, ni watanzania wote kila kona ya nchi hii ni Dkt Samia tu!