Mafisadi mkataba bandari kutajwa

WAZO2010

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2021
Posts
1,616
Reaction score
3,799
Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili, Amani na Haki za Binadamu kwa jamii ya madhehebu ya dini zote nchini, Askofu William Mwamalanga leo Jumapili ametoa siku tatu kwa ‘genge’ alilodai kuwa linamzonga Rais Samia Suluhu na kumlaghai mambo mbalimbali ikiwemo kuutetea mkataba mbovu wa uwekezaji katika bandari ya Dar es Salaam.

“Viongozi wa dini tunatoa siku tatu kwa genge hili linalokula bila kuvuna kuacha kumzonga Rais, la sivyo tutawaja majina wote kwa sababu tunawajua,” Askofu Mwamalanga - Dar

Source: MwanaHalisi Online
 
Wamuache rais Dkt Samia afanye kazi!
 
Hamjawataja tuu Hadi saizi?
 
Huyo askofu ni mpuuzi mmoja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…