Mafisadi kulipua gridi ya taifa ya umeme

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578
Serikali naomba ilipe fedha za Dowans ili kutuepusha kukaa kwenye giza.



Mafisadi wana nguvu pamaoja na mtandao mkubwa na wamo humuhumu nchini.
 
Ah Kumbe ni Ombi, yaleyale ya magazet ya udaku, kichwa na habari tofauti!
Napita tu...
 
Serikali naomba ilipe fedha za Dowans ili kutuepusha kukaa kwenye giza.



Mafisadi wana nguvu pamaoja na mtandao mkubwa na wamo humuhumu nchini.

Au na ww mmoja wao!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…