Indianapolis
Member
- Nov 25, 2018
- 77
- 44
Vaibu linakata km loto wanangu ee haya mafaza ni sooo kila kona jf yapo tu unampenda demu unamfatilia afu unaona wapo close na faza fulani ivi haya unahamisha majeshi kwa demu mwingine unakuta wazee wamemganda kwani nyie hamjaoa tuachieni basi na sie tuwatandike sheee kuna mademu nimewaelewa ila miding inakula bampa to mbampa yani ndoto za kupata demu jf zinakatika kwa kasi mambo yakiendelea hivi narudi zangu insta tu tuhurumieni mafaza japo nasi tuchomeke lahaula