Wapi walikotokea?Hawa watu hawakuwa waarabu, waarabu ni wavamizi tu na wanavuna pesa kupitia historia ambazo haziwagusi moja kwa moja. Siyo Misri tu, originally Afrika haikuwa waarabu, wazungu au wahindi, hawa ni mabeberu waliohamia humu, ingekuwa kuna uwezo dawa ingekuwa ni kuwarudisha walikotokea.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kwahio lugha ambayo walikua wakitumia ni lungha ganiMafarao walikuwa berbers sio ngozi nyeusi wala waarabu. Huwa nachukia sana ngozi nyeusi inapolazimisha historia iwe upande wake, utasikia mara Yesu alikuwa mtu mweusi , mara mafarao walikuwa weusi na Misri ilikaliwa na watu weusi kabla ya waarabu.
Watumwa wengi ambao walikua wako chini ya tawala hizo ndio waliojengengeshwa majengo hayoYale mawe yaliyojengea pyramids kwa technology ya leo hakuna crane inaweza kuyabeba, mahesabu yaliyotumika kuyapanga na yasianguke hivi vitu vinamuumiza kichwa mzungu.
Makongo juuWapi walikotokea?