Mafao Shirika la Posta Tanzania (TPC)

Mafao Shirika la Posta Tanzania (TPC)

fazam

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
1,868
Reaction score
1,291
wadau sisi mzazi wetu alikuwa mfanyakazi wa posta akafariki akiwa kazini...katika kufuatilia mirathi yake...shirika limesema wao hawatoi hata senti moja kama mafao ya marehemu...je hii ni kweli au ndo wajanja washafanya yao
 
Jaribuni kutafuta documents za marehemu zinazohusu mikataba na mwajiri wake. Pia kwa sisi ambao bado tuko hai tuweke docs sehemu ambapo zitakuwa-accessed kwa urahisi.
 
Wadau mimi mzazi wangu alikuwa mfanyakazi wa shirika la posta, alifariki akiwa bado ni mfanyakazi, tulipofuatilia mafao ya marehemu shirika wamesema wao hawatoi hata senti moja na marehemu alifanya kazi zaidi ya miaka 20.

Hii ni sawa au ndo wajanja washazipiga
 
habari yako haija kamilika.marehemu kama kafanya kazi posta basi obviously atakuwa mwanachama wa posta na simu saccos,pensionable na ppf,mikopo bank kama twiga nk.aisee kuna makato usiombe mm baba angu mdo alifariki mwaka juzi amefanya kazi tpc pesa iliyo pokelewa ni mil 2 laki 3 na kafanya kazi miaka 23.kufatilia nigagundua ktk tasisi xinaxolipa mshahara kidogo basi tpc..kwa marlezo zaid ni pm
 
Mkuu upo right kabisa..mm mwenyewe nlikimbia kazi pale..hadi 2011 mshahara wa graduate ni sh.lak 2 na 46,halaf unapewa mkononi..yaani TPC ni shirika mfu kabisa..sijui kwanini hawajipangi..mtu anafanya kazi miaka 20 anapata hiyo kweli...!!!
 
Shirika janga ili wafanuakazi wengi lakini hamna wanachoingiza
 
wadau sisi mzazi wetu alikuwa mfanyakazi wa posta akafariki akiwa kazini...katika kufuatilia mirathi yake...shirika limesema wao hawatoi hata senti moja kama mafao ya marehemu...je hii ni kweli au ndo wajanja washafanya yao

Kama alivyosema mdau hapo juu, habari yako haijakamilika. hata hivyo acha nikwambie kitu kimoja, mzazi wako anastahili zake ambazo ni haki yake kulipwa na posta achia mbali michango yake katika hifadhi za jamii pamoja na Posta na Simu Saccos

Kama umekwenda Posta na wamekujibu huvyo ni wajibu wako kufuatilia kwenye vyombo vya kisheria ila cha muhimu zaidi ni nyaraka zinazohusiana na ajira ya marehemu.
 
Back
Top Bottom