Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,981
- 45,902
Kwa miaka kadhaa sasa watanzania tumekua tukichagua viongozi wetu kwa kutegemea kiwango cha elimu ya mhusika.
Pale tunaposikia kua flani ni daktari ama profesa basi roho zetu hua kwatu kabisa.
Ingawa wenzetu huangalia mafanikio ya mhusika pamoja na mchango wake kwa jamii husika kama kigezo kikuu.
Watu huangalia rekodi za mhusika kama ni kwa namna gani ametoa mchango wake, mafanikio katika fani yake nakadhalika.
Kwakua sisi tumekomaa na elimu pekee na kusahau michango ya wahusika tumeishia kupata viongozi wa majaribio badala ya viongozi wazalendo.
Mamlaka teuzi na wananchi kwa ujumla wake tubadilike kwa faida ya taifa.