Mafanikio ni marudio

Mafanikio ni marudio

Vandma Pro

Member
Joined
Aug 30, 2022
Posts
61
Reaction score
82
Kwanza, kabisa kwake Mungu ndiko kwenye uweza wa mambo na mafanikio kwa ujumla.

Pili, ufunguo wa mafanikio ni marudioTofauti ya mara kwa mara juu ya jambo unalotaka ufanikiwe kwalo, huku ndiko kule kijibidiisha ambako huleta mibaraka.

JamiiForums-1073201037.jpg

Siku moja chagua jambo lako moja unaloona haliendi au halikupi matokeo unayoyatarajia na jaribu kulifanya tofauti na unavyolifanya siku zote, hii wengi huita plan B.
 
Kwanza, kabisa kwake Mungu ndiko kwenye uweza wa mambo na mafanikio kwa ujumla.

Pili, ufunguo wa mafanikio ni marudioTofauti ya mara kwa mara juu ya jambo unalotaka ufanikiwe kwalo, huku ndiko kule kijibidiisha ambako huleta mibaraka.

View attachment 2447278
Siku moja chagua jambo lako moja unaloona haliendi au halikupi matokeo unayoyatarajia na jaribu kulifanya tofauti na unavyolifanya siku zote, hii wengi huita plan B.
Nakubaliana na wewe; jamaa aliyegundua bulb, alirudia mara 99, na mara ya 100 ndipo alifanikiwa zoezi lake. Kwahiyo, tukianzisha jambo tusikate tamaa, bila kujali usumbufu tutakaoupata.
 
Back
Top Bottom