Sipati picha kama Wasira akiwa Rais,Mmh....hiyo sura nahis Waziri akikosa inabidi akimbie kabisa kabla hawajaonana,ngoja tuone mwisho wake maana hapo lazima apatikane mmoja.

yaani hata kabla ahadi tulizopewa kwenye ilani ya 2010 hazijatekelezwa, watu wako busy na uchaguzi 2015! kweli nimeamini safari moja huanzisha nyingine...