Mafagio ya lowasa mnatia bidii

3squere

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
925
Reaction score
181
Fagio linalofagia madhambi ya lowasa yamesika kasi sijui kama mtaweza kutowa mafumbi ukoko kinyezi na nk mtaweza kutuongopea tena siju kama mtadumu kwa muda gani umu jf kwani hicho kibaruwa kinaota majani na kazi mnayo, kama mtu ni msafi ni msafi tu na kama ni mchafu uwezi msafisha lowasa tafuta kazi nyingine ya kufanya na siyo siasa
Amen
 
"JK ANGALIKUWA MOD WA JF. MS ANGALIKUWA FREE KAMA LILIVYO TZDAIMA LA CHADEMA"

Nimeipenda signature yako, vipi una suala binafsi na huyo bwana mkuu wa kaya???
Mngeyamaliza huko wakati Admn ya JF inafikiria kumpa u-Mod, akitoka magogoni nadhani!!!
 
Pole MS, ni bora uhamie CCJ






Hekima ni Busara, PAW
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!

Kuwa na Busara
 
MS kama unakiri huko muendako ni giza nene basi tatizo liko kwa dereva wenu, huo ufisadi au kufukuzana lazima kuanzie kwake dereva la sivyo giza haliepukiki.
 
MS umemaliza maadhimisho ya uhuru nilikuona pale getini ukiuza ubuyu na kachori, karibu jamvini
 

Mambo ya Cameruni hayo
 


Kumbe siku nyingine huwa na mawazo yaliyotulia eeh!? Magamba imeshajifia siku nyingi sana sasa hivi ni kusubiri tu kuizika maana haitaweza kabisa kurudisha hadhi iliyokuwa nayo wakati wa Mwalimu ambapo Chama kilionekana ni watetezi wa Wakulima na Wafanyakazi lakini miaka hii kimegeuka na kuwa watetezi wa Mafisadi na waporaji wa rasilimali zetu toka nchi za nje.
 
Kwa taarifa nilizonazo gazeti la Jambo leo lina mkono wa Riziwani Kikwete, sasa kama mtoto anatumika kuihujumu serikali ya Baba yake hili limekaaje?
Na kuna mahojiano amefanya na Mirlad Ayo ambayo yatarushwa kwenye redio ya Wafu, nasikia wana kipindi kinaitwa Amplifire, kwa wale ambao hamna aleji na redio hiyo msikilize hicho kipindi halafu mtujuze huyo Riziwani anasemaje maana nimeskia amewarushia dongo ZITO ccm.
Binafsi nilishaipa ban nyumbani kwangu hiyi Redio ya wafu, kwahiyo natarajia wadau mtakaosikiliza mtujuze.

 
Naona pumba kwa mbaaali ndu ms
 
Fikra za aliye ndani ya boksi hutegemea ukubwa wa boksi lenyewe!
 
Licha ya jina lake kuchafuka kila kona ya Tanzania lakini huyu nadhani ni kiongozi mtekelezaji na si mzungumzaji.

Nakumbuka mwaka 2001,alimkaripia Mwandisi wa maji mkoa wa Lindi Bw.Monjesa,wakati huo alikua waziri wa maji na mifugo na kumpa masaa 24 na kuahidi kumuadhibu kama asingetekeleza.

Wakazi wa kata ile walipata maji.Embu mwenye kumbukumbu nzuri za utekelezaji wake atumwagie!
 
Jitahidi kumpigia kampeni. Usichoke.

Magamba wenzake watampa nafasi?

Kuna CDM wanasema wana uhakika wa ushindi 2015

Wazanzibari (Seif) wanataka Urais kwa kupokezana.
 
Jitahidi kumpigia kampeni. Usichoke.

Magamba wenzake watampa nafasi?

Kuna CDM wanasema wana uhakika wa ushindi 2015

Wazanzibari (Seif) wanataka Urais kwa kupokezana.

sijui kama itawezekana aa wapix2
yule niliye mpenda sana aa wapix2
 
sijui kama itawezekana aa wapix2
yule niliye mpenda sana aa wapix2
Ni nani huyo uliyempenda sana? ambaye unafikiria hakuna uwezekano wa kuwa Rais/Rahisi?
Mtangaze tu na umsaidie kupiga domo aka kampeni. Ndio siasa zilivyo.

Kama Jaluo, mtu nyeusi imeweza kuwa Rais/Rahisi US badi katika dunia hii hakuna kisichowezekana.
Hata Anna Makinda atakwambia hakuna kisichowezekana.
 
Jitahidi kumpigia kampeni. Usichoke.

Magamba wenzake watampa nafasi?

Kuna CDM wanasema wana uhakika wa ushindi 2015

Wazanzibari (Seif) wanataka Urais kwa kupokezana.

Usinitafsiri kwa mtizamo hasi pekee.

Unapaswa pia kuangalia nini ninachokilenga endapo atapewa mamlaka makubwa na mtizamo wangu kua Tz itakua na taswira tofauti ya mkuu wa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…