maersk(nyota Tanzania) msaada

Pdraze

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
615
Reaction score
324
Habari wadau! Hawa jamaa kuna kipindi waliita watu kwenye interview na mim nikiwemo sasa kama kuna mtu anataarifa wamafikia wapi naomba msaada wa taarifa! Asante!
 
ilikua oral au written?? na position gani
 
umekosa mkuu..si mwezi wa saba ilikua
 
Mshahra huwa ni shilingi ngapi kwa position hiyo (kwenye probation)? Kuna young sis wangu kaitwa there. I'll be very grateful ukiweza kunisaidia hiyo info.
ngoja nicheck then nakupa zenye uhakika
 
Mshahra huwa ni shilingi ngapi kwa position hiyo (kwenye probation)? Kuna young sis wangu kaitwa there. I'll be very grateful ukiweza kunisaidia hiyo info.

nipe namba yake ya simu nimuambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…