Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,734
K ma makeeee dah jamaa ymenchekesha balaaUkiwa na nyege mshindo kila demu ni mzuri
Kuwa makini UKIMWI UPO JAPO HAUUI
Huyo jamaa kanifanya nicheke peke yangu kila dakikaHahaahaa nyenge mshindo ndo zip mkuu
Wale wa kwenye feri ndo hao hao wa IFM, hao wanaishi kigamboni. Lakini nashindwa kikuelewa, shida yako ni malaya au decent woman?
List yako ina mchanganyiko, nashauri uipitie tena.
Bills na Tamal ni sehemu stahiki? Tuliza kichwa dogo.Hatudeal na malaya. Tunataka kuwasaidia wale wanaolilia kutafuta wachumba hapa JF...