Maeneo ya Bwiru, Mwanza hamna maji toka jana

mge

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
558
179
Wana bodi sijui shida ni nini huku mwanza maeneo ya kona ya bwiru, kitangiri na bwiru yenyewe maji hamna toka jana... mwenye kujua atufahamishe.
 
Mkuu subiri watakuja wenye dhamani baada ya kuogopa kutumbuliwa
 
Back
Top Bottom