SAPA Member Joined Mar 17, 2012 Posts 23 Reaction score 2 Jul 11, 2014 #1 Hi wana jukwaa, hivi maeneo kama Kivukoni, Bungeni n.k ambapo wamepiga marufuku kupiga picha ni kwa sababu gani? Na sometimes akipiga mzungu wanamuacha hawamsumbui kama mtz. Natanguliza shukrani kwa majibu mazuri
Hi wana jukwaa, hivi maeneo kama Kivukoni, Bungeni n.k ambapo wamepiga marufuku kupiga picha ni kwa sababu gani? Na sometimes akipiga mzungu wanamuacha hawamsumbui kama mtz. Natanguliza shukrani kwa majibu mazuri
Galadudu JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 2,304 Reaction score 780 Jul 11, 2014 #2 walinzi wanaolinda hayo maeneo wengi hawajui kiingereza ndo maana akipigia picha mzungu haulizwi
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Jul 11, 2014 #3 Mada kama hii imeshaletwa humu juzi juzi, pitia, labda utapata jibu: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuzuia-kupiga-picha-na-video-mahakamni.html
Mada kama hii imeshaletwa humu juzi juzi, pitia, labda utapata jibu: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-kuzuia-kupiga-picha-na-video-mahakamni.html
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,066 Reaction score 39,516 Jul 11, 2014 #4 Galadudu said: walinzi wanaolinda hayo maeneo wengi hawajui kiingereza ndo maana akipigia picha mzungu haulizwi Click to expand... Nenda kapige,ukikamatwa anza kuongea kifaransa au kichina kabisa,kitakachokupata ulete feedback.sawa mkuu?
Galadudu said: walinzi wanaolinda hayo maeneo wengi hawajui kiingereza ndo maana akipigia picha mzungu haulizwi Click to expand... Nenda kapige,ukikamatwa anza kuongea kifaransa au kichina kabisa,kitakachokupata ulete feedback.sawa mkuu?