[emoji3] [emoji3] [emoji3]mbeya kuna sehemu inaitwa 'MBEMBELA! baada ya mteremko wa meta hospitali pale! balaaa! kuna mteremko mmoja safi sanaaa, lakini kabla hujakaa vizuri unajikuta nymbani kwa mtu! (nimetoka mbeya miaka 12 imepita sijajua kama wameparekebisha)
kwa walevi pale kona ya Aga khan kama unatokea surrender kwa usiku ni pabaya sana na hile kona ya collesium kama unatokea st peters ni hatari sana kwa usiku n then umepiga majiHabari Zenu Wana Jamvi Kwa Hapa Dar Kuna Baadhi ya Maeneo yani Mwezi hauwezi Ukapta haujashuhudia Ajali yaweza Kuwa Kwa Uzembe Au Emergency
Mojawapo Ni hili la Kuanzia Kiluvya Gogoni Pale Kuna Mteremko wa Kawaida But Madereva Huwa Wanapuuzia haswa Madereva wa Malori
Sehemu ya Pili" Ni kibamba Chama Mpaka Pale Kibamba Kwa Mangi Madereva Wengi hujikuta Wako Kichwa Chini Miguu Juu
Waweza Share Maeneo Mengine hatarishi Kwa Vyombo Vya Usafiri na watembea kwa Miguu unayoyafahamu kwa Hapa Dar
Wanapaita machinjioni hapo,hatari sana.mataa ya chang'ombe pale umeme ukiwa hakuna ukienda kichwa kichwa unakuwa breki za malori yanayotoka bandari