M Mchinox JF-Expert Member Joined Jan 20, 2023 Posts 242 Reaction score 268 Oct 10, 2023 #1 Maeneo gani mazuri yenye hewa safi kununua kiwanja Vilivyopimwa kwa ajili ya makazi kwa budget ya 20M?? Maeneo ya karibu na urahisi kufikika gongo la mboto..
Maeneo gani mazuri yenye hewa safi kununua kiwanja Vilivyopimwa kwa ajili ya makazi kwa budget ya 20M?? Maeneo ya karibu na urahisi kufikika gongo la mboto..
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 8,501 Reaction score 15,246 Oct 11, 2023 #2 Chanika patakufaa mkuu
Gilbert A Massawe JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 6,337 Reaction score 5,296 Oct 28, 2023 #3 Bunju, mbopo
Masanja JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 5,510 Reaction score 11,013 Oct 28, 2023 #4 Zaidi ni bajeti yako. Mbezi beach, chanika, mbande nk. Ni wewe tuu na mfuko wako. Jipime.
Jimmy MUsa JF-Expert Member Joined Oct 14, 2020 Posts 241 Reaction score 176 Oct 28, 2023 #5 Mchinox said: Maeneo gani mazuri yenye hewa safi kununua kiwanja Vilivyopimwa kwa ajili ya makazi kwa budget ya 20M?? Maeneo ya karibu na urahisi kufikika gongo la mboto.. Click to expand... Kiluvya
Mchinox said: Maeneo gani mazuri yenye hewa safi kununua kiwanja Vilivyopimwa kwa ajili ya makazi kwa budget ya 20M?? Maeneo ya karibu na urahisi kufikika gongo la mboto.. Click to expand... Kiluvya
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,153 Reaction score 196,899 Oct 30, 2023 #6 Ngoja waje kukupa muongozo...
nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 13,071 Reaction score 15,156 Oct 30, 2023 #7 Mchinox said: Maeneo gani mazuri yenye hewa safi kununua kiwanja Vilivyopimwa kwa ajili ya makazi kwa budget ya 20M?? Maeneo ya karibu na urahisi kufikika gongo la mboto.. Click to expand... Hapo Mombasa ulizia kwa diwani...then mtafute baba Moses
Mchinox said: Maeneo gani mazuri yenye hewa safi kununua kiwanja Vilivyopimwa kwa ajili ya makazi kwa budget ya 20M?? Maeneo ya karibu na urahisi kufikika gongo la mboto.. Click to expand... Hapo Mombasa ulizia kwa diwani...then mtafute baba Moses
nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 13,071 Reaction score 15,156 Oct 30, 2023 #8 Gilbert A Massawe said: Bunju, mbopo Click to expand... Au Msumi na madale..kisa uke