Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Meja Jenerali Jacob Kingu, amesema kuwa maeneo 17 Jijini Dar Es Salaam kufungwa CCTV Kamera amesema hayo wakati akiongoza Kikao cha wadau kujadili Mradi wa kuweka Kamera za Kudhibiti Uhalifu(CCTV Kamera) katika maeneo 17 jijini Dar es Salaam.
Wahalifu wakubwa ni watendaji wa serikali, wao ndio wezi, wala rushwa, wahujumu uchumi, watakatisha fedha na mafisadi, hizo kamera za mabarabarani zitawanasaje?