Maendeleo ya miradi ya BRT DAR msimamizi yupo?

Maendeleo ya miradi ya BRT DAR msimamizi yupo?

mbotoki

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
268
Reaction score
116
Hivi Mradi wa BRT una msimamizi kweli?
Vipande vya
Magomeni - Ilala Boma.
Ilala Boma - Chang'ombe.
Chang'ombe - Mgulani.
TRL - Badari.
Bandari - Uhasibu.
Uhasibu - Kwa Aziz Aly.
Kwa Aziz Aly - Mbagala Mission.
Mbagala Mission - Rangi Tatu.

Nimeuliza tu kama kuna usimamizi, na kama usimamizi upo, vipi maendeleo yake?
Ila Hongera kwa utawala kwa kuruhusu baadhi ya maeneo hayo yaanze kutumika kabla hayajakamilika Mfano upande mmoja wa fly over za Veta na Uhasibu. (Hii ninadhani ni sababu ya kupunguza adha ya watumiaji, wala sio kujiimarisha na kujikosha kisiasa kama watu wanavyosema.)

Pia Muda wa kukamilika ambapo mradi ulitakiwa uishe na kukabidhiwa eti bado haujafika?
Au ndio inasubiriwa 2025 kama tulivyosikia kwa miradi mingine itazinduliwa wakati huo na ukomo wa kusuasua kwahudumanza umeme na Maji? (Hii nitaelewa ili kulinda kutumia fedha nyingi kwenye ma hafla ya ufunguzi, so mwaka huo miradi yoote itakamilishwa na ifunguliwe kwa mkupuo kwa budget kidogo)

Alafu eti mbona Makandarasi kuna kipindi inapita wiki nzima hatuwaoni site, zaidi ya walinzi tu? Alaf eti ile ya kufanya kazi mchana na usiku ili mambo kwenda fasta fasta Mbona imekoma tena? Jamani anayefahamu asininyime ufahamu na miye.

Heri ya Mwaka Mpya wananzengo.
 
Kabla hizo route hazijakamilika nimesoma sehemu wanaanza ujenzi wa njia ya bagamoyo mpaka Boko basihaya.

Nilitegemea wakamilishe kwanza route zilizo on progress then ndipo waanze mpya ila tayari mkandarasi ameshapatikana.

Sielewi why wanafanya hivi, yaani new project although old one still not!.
 
Mradi unafanyika kimagumashi sana
Jamaa wanajenga tofauti na wale strabag walipokuwa wanajenga!

Ova
 
Awamu ya 6 ndani ya koti la awamu ya 4. Kama awamu ya 5 ilitoa upendeleo kwa home town Chato, kwa izoefu huo ni lazima Zanzibar na Bagamoyo ziwefanyiwe hivyo pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitegemea wakamilishe kwanza route zilizo on progress then ndipo waanze mpya ila tayari mkandarasi ameshapatikana.
Nimepita Kilwa Rd siku za karibuni. Kwa kiasi kikubwa mradi umekamilika, na kilichobaki ni vituo tu. Changamoto kubwa ni pale BP lakini na penyewe panaenda vizuri sana na changamoto nyingine ni kutokea mzunguko wa pale Gerezani kuelekea Steshen kutokana na wembamba wa ile barabara.
 
Kabla hizo route hazijakamilika nimesoma sehemu wanaanza ujenzi wa njia ya bagamoyo mpaka Boko basihaya.

Nilitegemea wakamilishe kwanza route zilizo on progress then ndipo waanze mpya ila tayari mkandarasi ameshapatikana.

Sielewi why wanafanya hivi, yaani new project although old one still not!.
Ili hizo route mpya zichelewe,watu wazidi kupata adha na hasara ya kiuchumi kitaifa!?
 
Yaani hawa jamaa wa kichina wanajenga hovyo tungewapa tu strabag vile vituo kama vibanda vya kufugia njiwa
 
Back
Top Bottom