jerrytz
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 5,975
- 4,264
Mamlaka ya Barabara Tanzania (TANROADS) imekamilisha mipango ya ujenzi wa barabara kutoka Mwigumbi -Maswa-Bariadi yenye urefu wa kilomita 171.8 kwa kiwango cha lami.
Kwa mujibu wa tangazo la zabuni la kutafuta mkandarasi wa ujenzi wa Barabara hiyo inayotarajiwa kukamilika katika kipindi cha miezi 24 baada ya kazi kuanza.
Ujenzi wa Barabara hii utaongeza chachu katika ukuaji wa kiuchumi wa kanda ya Ziwa.
Wale wenye makampuni ya Ujenzi changamkieni zabuni hiyo.